H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,146 Reaction score 3,830 Jul 5, 2015 #1 Kuna wimbo umekuwa ukisikika sana ambao unaenda kwa mtindo huu "paile paile paile.....paile paile..." Ninaomba kwa anayefahamu jina la wimbo na msanii aliyeuimba tafadhali anijulishe. Natanguliza shukrani.
Kuna wimbo umekuwa ukisikika sana ambao unaenda kwa mtindo huu "paile paile paile.....paile paile..." Ninaomba kwa anayefahamu jina la wimbo na msanii aliyeuimba tafadhali anijulishe. Natanguliza shukrani.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,443 Reaction score 46,200 Jul 7, 2015 #2 Ni wimbo wa Mahadhi gani?