Hiyo [emoji2398]2018 maana yake copyright 2018 hiyo page imetengenezwa 2018.. Ma IT wamesahau kubadilisha au bado hawaja update pageNdo sijaelewa lakini wameandika kabisa mini application window ila ukifuata link kule chini inaandika
[emoji2398]2018
Ndo ivo mkuuuSawa ila kwa juu kulia imeandikwa 2018/2019
Ndo nimechanganyikiwa