Jamsuldash Member Joined Jul 14, 2011 Posts 69 Reaction score 24 Sep 15, 2013 #1 Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya kutunza na kuzipata data zangu. . .
Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya kutunza na kuzipata data zangu. . .