Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,483 Oct 21, 2016 #1 Habarini wakuu.. Kwa wale wataalam naomba mnijuze, je kuna namna ya kutrace # ya mtu ya simu hapa kwetu na kupata exact location?! Kuna mtu kanitapeli hela na sijui wapi pa kumpata.
Habarini wakuu.. Kwa wale wataalam naomba mnijuze, je kuna namna ya kutrace # ya mtu ya simu hapa kwetu na kupata exact location?! Kuna mtu kanitapeli hela na sijui wapi pa kumpata.
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,111 Oct 21, 2016 #2 Njia rahisi ya kuipata simu Iliyoibiwa kwa kutumia Android Device Manager
skull Senior Member Joined Aug 18, 2016 Posts 157 Reaction score 104 Oct 21, 2016 #3 Mkuu je unakibali cha kufanya hio shughuli yako? Kama unacho ni Pm tujue pakuanzia