Kamanda Kazi JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 2,613 Reaction score 799 Dec 31, 2017 #1 Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
Ze General JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 1,508 Reaction score 1,259 Dec 31, 2017 #2 Vyuma vimekaza.....hadi mayai yamekosa viini