Salama wakuu!
simu yangu ni HUAWEI ASCEND G510.
Nimekuwa nikipata hyo sms ya kustop kwa programs unfortunately mfululizo,mara google,home page,nk.
nimereset haijakubali, nimepeleka kwa mafund zaid ya watatu waiflash kakin inagoma..haipokei mafile ya driver yaishe..inasoma nusu na inagoma'
Je.nifanyaje? mwenye ujuz anishaur...
nenda kwenye applications then uninstall Google play services af install tena ambayo ni latest ..au fanya tu ku update Google play service.
nenda kwenye applications then uninstall Google play services af install tena ambayo ni latest ..au fanya tu ku update Google play service.
mkuu nimejarbu haijakubali. tena nimejarbu hata kuiflash kabsa pia imeshndkana!
karibu kibaha hilo tatzo la kustop kwa programs unfortunately mfululizo litaisha.