Msaada kutoa pesa umojaswitch

Pekejeng

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
835
Reaction score
2,251
Habari za jion wakuu
Mwenye kufaham namna ya kutoa pesa kutoka umojaswitch maana nilikuwa natransfer pesa kutoka azania bank kwenda mpesa cha ajabu naona wameipeleka huko(umojaswitch). Na mimi sina uelewa wala uzoefu wa hii bank nimejaribu pia kupiga namba zao hawapokei
Tafadhali kama kuna mwenye uwelewa nahitaji msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…