Je ukiibiwa simu unawezaje kurudisha taarifa zako ktk simu mpya aina Techno P5!!, Je kuna program za kuhifadhi taarifa zako zote ili ukiibiwa unaweza kurdisha mara moja??
Hapana mkuu-inategemea lakini kwa sababu ni android kama ulilog in na Google account yako nakuhifadhi namba za simu ukilog in kwenye simu nyingine zitarudi, kwenye picha kama ulikiwa unatumia Google photos na ulisync picha zako zitarudi pia.