Tumia master root. Nenda Google andika how to use master root utapata video zinazoeleza jinsi ya kutumia. Mimi nimetumia hiyo na nimefanikiwa.Wakuu nimejitahidi ku root cm yangu Huawei Y 300 ila inafeli,kuna faili nilidownload last time nikawa nimelisave kwenye memory card,nililitumia kuroot cm niliyokuwa natumia last time ya Samdung galaxy min ikakubali ila kwa sasa nikilitumia kuroot hii cm inafail.Nimejaribu pia kufanya rooting kwa kutumia software kama Frame root versions tofauti tofauti ila imegoma.Msaada tafadhali niweze kuroot cm yangu.Natanguliza shukrani.