Asanteni wapendwa yaan mambo yamekuwa mengi kichwani nilijisahau kama naandika kuomba msaada,kwakweli bado sijamalizia kuandika ombi langu ila nashukuruni nilikuwa nataka kujua jinsi ya kureset manually coz nikienda kny general af reset naambiwa niandike passcode na hizo pascode me sizijui