Nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha kimataifa kwa line ya airtel ili nipige Australia lakini nikakuta hawana international bundle inayoniruhusu kupiga huko. Naona Tigo pia kama hawana. Naomba kuuliza kama kuna mtu mwingine humu ndani hupiga simu huko na anatumia mtandao gani.