BabaJunior Member Joined Nov 20, 2012 Posts 40 Reaction score 16 Aug 5, 2014 #1 Jamani nashindwa kurecover data kutoka kwenye hard disc ya laptop yangu. kila nikijaribu kufungua inasema DO YOU NEED TO FORMAT YOUR HARD DISK? naomben msaada kama kuna namna yeyote ya kupata data zangu. natanguliza shukrani
Jamani nashindwa kurecover data kutoka kwenye hard disc ya laptop yangu. kila nikijaribu kufungua inasema DO YOU NEED TO FORMAT YOUR HARD DISK? naomben msaada kama kuna namna yeyote ya kupata data zangu. natanguliza shukrani