steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
Nashkur ndugu kwa maelezo machache mazurUsiache kufanya kazi kwa bidii na kujiwekea akiba, Utabadilika kimaisha, maisha yatapanda (utapata nauli na utapanda basi kwenda mbali). Heshima itaongezeka na utaheshimika zaidi ya sasa, inaonekana kwa sasa huheshimiki. Usikate tamaa