Msaada: Kuna kitu kinanikaba kwenye koo

Joined
Oct 18, 2017
Posts
24
Reaction score
5
Jamani nasumbuliwa na koo kuna kitu kinanikaba nilikwenda hospitali niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo hazikunisaidia naombeni ushauri wenu watalaamu.
 
Jamani nasumbuliwa nakoo kunakitu kinanikab nilikwend ospitar niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo azikunisaidi naombeni ushauli wenu watalaam
Pole dada mariam... kama kweli unataka msaada... rekebisha uwandishi..then kichwa cha habari rekebisha... usiandike *mariam*.. kwa maana hilo ni jina....
 
Kiukweli hata mimi baada ya kusoma ulichokiandika, nimepatwa na mafua, homa ya ghafla na kisukari kimepanda.


Ukiwa na tatizo kua serious kwenye kujieleza.

Uandishi mbovu utakupatia majibu mabovu!

Ugua pole Mariam!
 
Tujitahidi kumwelewa mgonjwa..possibly kapata advice aje JF atapata msaada so tusiwaze sana uandishi wake as long as ameeleweka. [HASHTAG]#focusonthepositivepart[/HASHTAG]
Thnks kwakunielewa bro sikuzote mgen lazm uchekwe ujifunze kesho
 
Habari nahisi kukabwa kwenye koo yani Kama nimekabwa na tonge hapaumi Wala kuwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…