Msaada kukopa nmb

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Wana jf nataka kukopa nmb mil tatu-basic yangu ni 422000 take home ni 371000 .je riba ni kiasi gani na kila mwezi ntakatwa shilingi ngapi kwa miezi 36!najua watu wa benki mpo jf
 
nenda nmb watakupa taratibu. Ila mshahara wako unatakiwa upite huko kwa miezi 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…