Msaada kuhusu zuku

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndugu habar,ninaomba msaada wenu kuhusu hili,nina dish la zuku ambapo juzi mafundi walikuja wakaezua paa hvyo kulitoa dish kutoka lilipokuwepo awali ,jana nikaamua kulirudsha ili niweze kuendelea kupata huduma ila nikagundua ilikuwa wamekata kutokana na kuwa ili kuwa ndo siku ya kufanya malipo ,nikajarbu kuset kwa kutumia chanel no1 ambayo ni zuku zone yani ile ya matangazo tu lakini imeshindkana na mara zote huwa tunawasha dkda inakuwa onn na tv pia ndipo uweze kufanya malipo .sasa ndugu zangu ntafanyaje malipo bila ya kuwa na uhakika wa position ya dish ?Au ni2mie zile strength &quality kusetia yani nicheze na mstari wa kijani ki% au nibebe dekoda nikaiweke sehemu yenye dsh la zuku nifanye malipo kwanza ndo nije niendelee kuweka dsh?Pia kwani zuku zone nayo siku hizi nayo hukata baada ya kukata chanel zingne .asanteni
 
zuku zone ipo inafanya kazi bila malipo weka frequency zake na symbolrate chekecha dish taratibu juu chini upande uleule wa zuku utapata ila uwe na mtu acheki signal ndani kama utashindwa kutoa tv nnje
 
zuku zone ipo inafanya kazi bila malipo weka frequency zake na symbolrate chekecha dish taratibu juu chini upande uleule wa zuku utapata ila uwe na mtu acheki signal ndani kama utashindwa kutoa tv nnje

nipe hzo frequency na symbol rate mkuu
 
Jaribu kupiga namba hizi kwa watu wa zuku 022 5507930, 0768 98 42 00, hii ya Kenya makao makuu 254 7190 66 000
 
11727H 27500 yakwanza ni fr. yapili ni symb. ingiza kwny decoder yako chekecha dish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…