Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Nenda Mwanza Net au ISP yeyote wa Mwanza,utapata kitu cha maana!Vodashop unaenda kufanya nini?kuuza modem?pale hawana chochote zaidi kuuza modem!mitambo iko dar na hawataweza kukupa uchezee!ingia kwenye net utengeneza live demo uwe unajifunza humo...kuna software kibao zitakusaidia!search GN3 software!
nenda gold crest alimaarufu Ppf plaza