Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,083
- 34,859
Can arthritis be cured?Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi... Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.
Please wadau naombeni msaada. Niko serious
Shida yako mkuu unajibizana na empty bottles pengine hata hataki kujiweka tayari kukusikiliza na kuelewa what you mean .Kama nimekukwaza kwa lugha i take it back, ila usisahau nimekwambia unielezee pathophysiology ya arthritis mpaka sasa unahepa na kuniletea hadithi tu.
Unless you think wazungu ni watu wakujiropokea tu.
Ngoja nikwambie kitu kingine budget ya NHS kwa mwaka ni £176 billion. Kati ya hizo kama £40 billion zinatumika kuwa hudumia wagonjwa wanaoishi na long term medical conditions.
Huyu mgonjwa wetu angekuwa anaishi UK hizi ndio huduma ambazo angepata.
Pads za mikono, kiuno na miguu zinazoongeza hit kumpunguzia maumivu bure.
Kama awezi fanya kazi kwa mwezi angelipwa zaidi ya £1000
Kama anaishi mwenyewe angepewa carer wa kwenda kusafisha nyumba, kupika, kuosha, vyombo etc kama kaoa basi mkewe au mwanawe anaweza lipwa hiyo hela ya kufanya shughuli hiyo.
Therapy za physiology, gym, psychology and counselling ili aweze manage ugonjwa wake bure NHS inalipa.
Yaani mgonjwa mmoja anawa cost sana yote hayo ni kutokana na ‘medical social model theory’ namna sahihi ya kumtibia mgonjwa.
Sasa usidhani it’s not in their government interest kutumia hizo £40 billio sehemu zingine kama kwenye kuboresha shule, kujenga miundombinu, kuwekeza kwenye ulinzi and so forth ila hakuna namna kutokana na social demand on what’s the government ought to do.
So wakikwambia hawana dawa they mean it, na siku zote wanaangalia kama mtu mwingine anayo and how it works even if it’s unrefined. Trust me kama ipo sehemu wao wangekuwa wa kwanza kuiba na kuiboresha kwa mtindo wao.
Hivi unajua ata third eye intelligence (ulinzi wa ushirikina wa kutumia waganga, voyeurs, etc) wazungu ndio walikuwa wakwanza kuuweka kwenye system zao if they think a person has that powers.
Wakikwambia hakuna dawa hakuna mjomba, but they will have done anything for to manage the condition to reduce the risks of health deterioration.
Why so, it costs them a lot of money to care for long term conditions na mimi najuaje haya mambo
View attachment 2116788
Nimemfyatulia mtu report zote hizo ‘SHK0115 evidence based interventions’ option zilikuwa diabetes, arthritis or dementia.
Mwenyewe alitaka arthritis kwa sababu anailewa zaidi kupitia field work, mimi nikafanya diabetes because I was more comfortable.
Wewe unajiropokea tu.
I hear you I am also to blame kwa kujibizana na viazi sababu ni mchangiaji wa jukwaa la siasa so we are used to nonsense na muda mwingine kule kuna leagues za kipuuzi.Shida yako mkuu unajibizana na empty bottles pengine hata hataki kujiweka tayari kukusikiliza na kuelewa what you mean .
I have been in medicine field for more than 15 years now.
I second you all you are talking mkuu.
Taja dawa ya ugonjwa wa OP mumsaidie. Anayesema dawa hakuna katoa facts, anayesema ipo iko wapi inapatikanaje mgonjwa akaifuateHizo dawa wanazozitengeneza viwandani wanazitengeneza kwa kutumia kinyesi cha mamako?
Kila ugonjwa una dawa yake. Na dawa ni mimea iliyoumbwa na Mungu.
Ati sayansi! Sayansi ya mbwa!! Mmewadanganya sana watu ninyi ili muendelee kuwaua kwa sumu pamoja na kuneemeesha maisha yenu.
Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi... Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.
Please wadau naombeni msaada. Niko seriouss
So far kisayansi hakuna dawa itakayotibu arthritis permanently....utakua unatumia dozi ikiisha basi unaskilizia tatizo litaporudi tena utanunua tena iyo dozi....Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi... Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.
Please wadau naombeni msaada. Niko serious
As yet I am just offering information NHS wakikwambia hakuna tiba then hakuna.
JD honey or tennessee?Ngoja ntaongea na rafiki yangu ni specialised nurse wa watu wazima ndio asilimia kubwa ya wagonjwa wa arthritis atanipa majibu zaidi wanafanye NHS for long term care.
As yet I am just offering information NHS wakikwambia hakuna tiba then hakuna.
Kuna maradhi mengine yakisha progress ayatabiki tena ni kama type 2 diabetes kuna hatua ukishafika mawili ‘self management’ ya condition ili uzuie ugonjwa ku develop na kukuletea madhara zaidi au uzembee ugonjwa u-progress uzue mambo mengine; kazi kwako.
Hizo link ni part of public health promotion nchi za wenzetu; huyu mtu ajue ana deal na nini.
Anyway ushaniboa sichangii tena kwenye hii mada na wala simuulizi huyo specialised nurse, wacha niendelee na J.D yangu usiku mwema nikuachie wewe mwenye kuijua tiba ushauri.
Huna tofauti na mtu anaedhani mwarobaini ni tiba ya kila kitu.Tumia Binzari kama kiungo katika mboga unazokula, go and tell the NHS. Hayo madawa ya conventional ni biashara na watu kama nyie mnatumiwa bila kujua kama wapagazi wa biashara hiyo ya hayo madawa ya kizungu.
Wazungu hawataki makampuni yao ya madawa yafe hivyo wao wanaangala dawa zinazopunguza na ku control ugonjwa hawataki kuangalia dawa zinazotibu ugonjwa kabisa na ndio maana you are fed with such ignorance that; no cure for arthritis.
Nakupa elimu nenda kafanye utafiti juu ya Binzari (manjano) labda kuna siku utapata zawadi ya Nobel in medicine for arthritis cure discovery , ila usinisahau siku ukizawadiwa.
Tafuta mwaniHabarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi. Na unaniumiza sana maeneo ya kiuno na wakati mwingine nashindwa ata kuinama na kusimama vizurii.
Please wadau naombeni msaada. Niko serious
Hiyo ishaisha aina deal tena ‘sour mash’ sasa hivi tunaangalia majukumu ya siku hangover gone ndio uzuri wa vitu vilivyopimwa.JD honey or tennessee?
Vitu standard.Hiyo ishaisha aina deal tena ‘sour mash’ sasa hivi tunaangalia majukumu ya siku hangover gone ndio uzuri wa vitu vilivyopimwa.
Ukishaambiwa ugonjwa auna tiba dawa yoyote ni for managing the condition na usichukulie dawa bila ya vipimo na Dkt recommendation based on health deterioration evidence nyie watu ndio maana mnakufa kirahisi kwa kujifanya wajuaji.Hii ndio biashara ya the Big pharms, kamwe hawawezi kuua biashara yao kwa kutengeneza Binzari (Turmeric /curcuma longa) kwa ajili ya kutibu Arthritis. Kilatha aka Kilaza,🤣
Huna tofauti na mtu anaedhani mwarobaini ni tiba ya kila kitu.
Hakuna medic duniani anaekataa dawa za asili ata kwa mzungu huko kwao kuna maduka ya dawa ya asili be it mainly maduka ya wachina but you can’t promote such medicine.
Kwanini hizo tiba wanakuwa washachunguza zinafanya kazi vipi given the condition.
Kuna vitu vingine ata kubishana shida;
Nakupa mfano wa medical condition ambayo nafahamu kidogo.
Kwety Tanzania unakuta mtu ana type 2 diabetes and pressure. Hiyo combination sio hatari sana kama unaeulewa wa ku manage huo ugonjwa na vilevile ni combination ni mbaya sana kama hujui ku manage huo; mbaya zaidi kama wauguzi ufahamu wao wa pathophysiology ya uogonjwa.
Case Study: umuhimu wa kuelewa ugonjwa
Kuna mkurugenzi alikuwa na kisukari na pressure, kala hela za parking. Magufuli kampaka hadharani siku chache jamaa marehemu who is to blame, Magufuli au medical expert?
Let me tell you what happens hakuna kifo cha ghafla kwa mtu mwenye kisukari in normal circumstances never.
However mwili wa mwanadamu aupendi stress na stress kwa human biology ni feelings au hata homa ndogo; ukiwa kwenye hilo silaha ya kwanza ya mwili kwenye kujikinga cortisol hormones zinarusha sukari kupambana na situation.
So ikitokea umeudhika kama yule jamaa aliekalipiwa na magufuli akafa siku chache au umeumwa homa ya kawaida na wewe ni mgonjwa wa kisukari mwili ukijisikia stress tu cortisol hormones inarusha sukari from its reserves na wewe unayo tayari mwilini. Kinachofuata hapo ni DKA ukifika hospitali ukipata vipimo sahihi mapema na ku intervene wanaimudu unatoka salama, mtu asipoelewa unaondoka hapo hapo ata mama yangu tumempoteza na DKA people don’t just die.
What’s the point ya above ☝️In medicine kabla kumpa ushauri mtu wa internation na dawa za kutumia kwanza elewa effects za huo ugonjwa na upo stage gani, risk zake at each stage, medication, life style adjustments and so forth sio kulisha watu matango pori.
Nikikuuliza aliemuua aliekuwa mkurugenzi wa Dar ni kufokewa na Magufuli au incompetence ya medical experts whose to blame, people don’t just die in Europe because understanding of pathophysiology is taken serious.
Ukiulizwa tangawizi vipi arthritis unaweza elezea given the pathophysiology of the condition au unaropoka tu this why kuna vifo vingi vya kizembe kwa sababu kila mtu ni medical expert.
Ukishaambiwa ugonjwa auna tiba dawa yoyote ni for managing the condition na usichukulie dawa bila ya vipimo na Dkt recommendation based on health deterioration evidence nyie watu ndio maana mnakufa kirahisi kwa kujifanya wajuaji.
Unafikiri ukiandika kizungu ndio utanitisha? Jinga wahed!Seriously can you even explain the pathophysiology of the arthritis condition or what it even entails?
Nilishakwambia before bila ya kuelewa how the condition impacts the biology ni sawa na kujibizana na (I reserve the word kwa sababu ni mtu wa kununa inabidi nijikumbushe ili ni jukwaa lingine) na haya matatizo ya lugha chafu kwa baadhi ya watu kama mimi ambao kutwa tunashinda jukwaa la siasa mods are to blame kule ndio nwendo wetu mpaka imekuwa tabia.
Back to the topic at hand, how do you even dare to argue about the science of medicine works and it’s intervention methods based on evidence whereby you can’t even explain how the medical condition impacts the biology (the another way of saying you don’t know pathophysiology of arthritis).
Lengo langu lilikuwa kumpa ushauri alieomba msaada namna ya ku-manage condition aweze kuishi nayo kwa amani bila ya kumsumbua.
Sasa wacha nikuachie wewe uendelee. Hila kabla sijakuacha wacha nikupe kazi za wazungu kadhaa
Bronisław Malinowski | Polish Anthropologist, British Scholar | Britannica
Bronisław Malinowski was one of the most important anthropologists of the 20th century who is widely recognized as a founder of social anthropology and principally associated with field studies of the peoples of Oceania. Malinowski was the son of Lucjan Malinowski, a professor of Slavic philologywww.britannica.com
Huyo fala katumia muda mwingi sana kujifunza namna tunavyofikiri wengine na kufanya mambo kwa mtazamo wetu na kama wazungu wana la kujifunza so they shouldn’t take everything they see as being primitive to them; rather understand our interpretation first.
Through those line of Malinowski reasoning and his predecessors works on scientific hakuna kitu tunachofanya wazungu wanachukulia poa leo. Kila kitu wanataka kuelewa kwa mtazamo wetu kwanza before they dismiss based on evidence kuanzia kwenye dawa zetu mpaka kwenye uchawi. Na ipo ivyo popote duniani wanataka kuelewa na kujua hiyo knowlege if it’s necessar wanaitumia vipi part of their security measures.
Sito kutukana ila ntakuacha na ujinga wako because this was a medical issue. Ambayo kumuelezea muhusika maneno ambayo ningeandika kumsaidia I charge a million tsh kwa wanafunzi wa first degree; yeye angepata bure faida za kuanzisha mada JF zitakazo wagusa watu.
Me out of this for good.
My bad Mokaze pamoja na jinga kumbe nilikuwa namjibu chizi zaidi ambae anaenda kwenye ignore list soon. Aina maana wewe mzima mnfanana na huyu jamaa akili zenu kwa kiasi kikubwa.
Ungekuwa na akili ungeteneza japo dawa ya arthritis.Shida yako mkuu unajibizana na empty bottles pengine hata hataki kujiweka tayari kukusikiliza na kuelewa what you mean .
I have been in medicine field for more than 15 years now.
I second you all you are talking mkuu.
Maneno meeeengiii.... ujinga mtupu!!Huna tofauti na mtu anaedhani mwarobaini ni tiba ya kila kitu.
Hakuna medic duniani anaekataa dawa za asili ata kwa mzungu huko kwao kuna maduka ya dawa ya asili be it mainly maduka ya wachina but you can’t promote such medicine.
Kwanini hizo tiba wanakuwa washachunguza zinafanya kazi vipi given the condition.
Kuna vitu vingine ata kubishana shida;
Nakupa mfano wa medical condition ambayo nafahamu kidogo.
Kwety Tanzania unakuta mtu ana type 2 diabetes and pressure. Hiyo combination sio hatari sana kama unaeulewa wa ku manage huo ugonjwa na vilevile ni combination ni mbaya sana kama hujui ku manage huo; mbaya zaidi kama wauguzi ufahamu wao wa pathophysiology ya uogonjwa.
Case Study: umuhimu wa kuelewa ugonjwa
Kuna mkurugenzi alikuwa na kisukari na pressure, kala hela za parking. Magufuli kampaka hadharani siku chache jamaa marehemu who is to blame, Magufuli au medical expert?
Let me tell you what happens hakuna kifo cha ghafla kwa mtu mwenye kisukari in normal circumstances never.
However mwili wa mwanadamu aupendi stress na stress kwa human biology ni feelings au hata homa ndogo; ukiwa kwenye hilo silaha ya kwanza ya mwili kwenye kujikinga cortisol hormones zinarusha sukari kupambana na situation.
So ikitokea umeudhika kama yule jamaa aliekalipiwa na magufuli akafa siku chache au umeumwa homa ya kawaida na wewe ni mgonjwa wa kisukari mwili ukijisikia stress tu cortisol hormones inarusha sukari from its reserves na wewe unayo tayari mwilini. Kinachofuata hapo ni DKA ukifika hospitali ukipata vipimo sahihi mapema na ku intervene wanaimudu unatoka salama, mtu asipoelewa unaondoka hapo hapo ata mama yangu tumempoteza na DKA people don’t just die.
What’s the point ya above [emoji3516]In medicine kabla kumpa ushauri mtu wa internation na dawa za kutumia kwanza elewa effects za huo ugonjwa na upo stage gani, risk zake at each stage, medication, life style adjustments and so forth sio kulisha watu matango pori.
Nikikuuliza aliemuua aliekuwa mkurugenzi wa Dar ni kufokewa na Magufuli au incompetence ya medical experts whose to blame, people don’t just die in Europe because understanding of pathophysiology is taken serious.
Ukiulizwa tangawizi vipi arthritis unaweza elezea given the pathophysiology of the condition au unaropoka tu this why kuna vifo vingi vya kizembe kwa sababu kila mtu ni medical expert.