Naomba mnijuze kwa mnavyofahamu kuku chotara maana huwa nasikia tu ila sijawahi kuwaona.Naomba msaada juu ya ufugaji wake, chakula chake je wanakula chakula gani , utagaji wake, bei ya mayai yake kwa trei.
Naombeni u shauri na maelekezo mi nataka kufuga kuku wa mayai ambao ni chotara na kuku wa nyama kipi cha kuzingatia??eneo ninalo na mtaji ninao ila co mkubwa saaana kama 400000 c ninaweza anza na nimekubali kua risktaker