wakuu naomba ufafanuzi juu ya ufaulu unaotakiwa mwaka huu kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na mbeya ...maana kila mtu anasema yake uku eti lazima wenye division one mwisho ya point 7 ili kupata chuo na hiyo facult.. ni kweli?
Hata Hivyo Vijiweni na Mitandaoni Utayasikia Mengi!! Lakini Jihakikishie Kuwa Unaamini Kile Tu Kilichotangazwa Ndani Ya Mtandao Wa HESLB, TCU au Official Announcement Kutoka Kwenye Media.