Msaada Kuhusu Udahili (Degree au Diploma).

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,478
Reaction score
27,186
Wakuu Habari zenu!
Kwanza Kabisa Natunguliza Kusema Mimi sio Mwanafunzi (Nimemaliza Kusoma Tokea 2005) Wala Sihitaji Kusoma Kwa Sasa.

Ila Kuna Staff mwenzangu Ana Mtotowake Ambaye ana Div II ya Art na Aliomba Kusoma Bachelor ya Sheria UDOM akakosa 1st and 2nd Selection.

Kwahiyo Amenitaka Nimsaidie Wakati Mimi Hata Sishuhulikii Hizi issue za Vyo.

Sasa Nimeamua Kulileta Hapa ili na Mimi Nisaidwe baadae Nikasaidie kwani Huyo anayehitaji Msaada Kwangu Yeye Hatumii JF.

Msaada Ninaotaka ni:-
• Je Bado Kuna Vyuo Vinavyodahili Ngazi ya Stashahada (Diploma) na Vinavyodahili Ngazi ya Shahada (Degree) Kwasasa (Yaani Havijafunga Udahili)?

• Kama Vipo Naomba Mnitajie Hivyo Vyuo Vinavyotoa Stashahada au Shahada ili nimpelekee Muhusika.

Mambo Muhimu:
√ Muhusika Yupo Singida Mjini
√ Muhusika Ni Mwanafunzi Wa Art ambaye interest Yake Ni Kusoma Bachelor Ya Sheria (Law) na Akikosa Bachelor at least Akasome Stashahada (Diploma) Ya Sheria.

Ahsanteni.
 
Tembelea sites za Vyuo Mkuu!
 
Kwa ufupu ingependeza ufafanuzi ukawa wa kutosha wakongwe haya mambo tumeshayasahau siku nying.....ni sifa gan kwa sasa wanataka ili usome bachelor in law au diploma hapa ufafa nuzi utasaidia weng maana sisi wazaman haya mambo yalikuwa tofauti na sasa yamebadilishwa sana ili tuwe tunawajibia wanaouliza maana ukiwa tu selikarin wanahisi unafaham kila kitu tunasumbuliwa na mifumo.

Nawakilisha kwa shukran...
 
Ungeweka matokeo yake hapa rahisi sana kushaurika.

Huenda kuna masomo ya O level alifanya vibaya mfano English, History na Geography.

Tukishafahamu hayo then itakuwa rahisi sana kusaidiwa.

Lakini, pia kwa kadri ninavyojua TCU mwisho wa kupokea majina kutoka vyuo ilikuwa tar 29.09. na leo ni tar 01.10.

Hata hivyo, kama akipambana vema anaweza kubahatisha chuo ila ajitahidi kabla ya tar 06.10 ambapo ndio siku ya mwisho kila chuo kutangaza majina ya waliochaguliwa.
 
MZUMBE Moro & mbeya campus ,apply haraka iwezekanavyo
 

Matokeo Yake Sijayakuwa Kwani Haikunijia Fikra Ya Kumuuliza na Ninampigia Simu Hapatikani Kwa Sasa.
Lakini Wakati Kagraduate Advance Naamini Hata Diploma anaweza Kupata.
 

Dah! Mkuu Hata Mimi Mwenyewe Haya Mambo Niliachana Nayo Kitambo Kwahiyo Ni Vigumu Kwangu Kuzielewa Hizo Sifa na Ndiyoma nimeibukia Hapa.
 
UDOM BADO DIRISHA LIKO WAZI MWISHO LEO AJARIBU TENA ROUND YA 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…