Kwani hakuna Samsung Service Centre huko uwapelekee??
Aidha uisafirishe ije Dsm kama una mtu huku ambae ataipokea na kuisimamia. Vinginevyo kuna makanjanja watakuulia kabisa tv yako
Mimi huwa nashauri kununua nyingine nimedhulumiwa samsung yangu LED na hao hao samsung service center Mbeya. Nimewapelekea TV itengenezwe bei ya kutengeneza ikawa 60% ya bei ya kununulia nikawaambia wanirudishie TV yangu vikaanza viswahili mpaka leo mwaka na miezi sita imepita sijapata kitu ikabidi ninunue nyingine tu.