Msaada kuhusu transfer za vyuo TCU

mr promise

Senior Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
142
Reaction score
135
Wasalaam wanajf
Ningependwa kujuzwa wakati wa transfer slot mpya zinawekwa au ni zile zitakazosalia 3rd round.

Natanguliza shukrani
 
Wasalaam wanajf
ningependwa kujuzwa wakati wa transfer slot mpya zinawekwa au nizile zitakazosalia 3rd round
natanguliza shukrani

Dah Mkuu Kumbe Tunaotaka Hzo Transfer Tutakua Weng Aisee...Me Nadhani Zitawekwa Nyingne Kulingana Na Nafac Ztakazokua Zmebak Kwa Course Mbalmbal Katika Vyuo Coz Ukisema Ni Zle Ztakazobakia Afta 3rd Round Means Ni Kua Transfer Ita Base Kwa Watu Wa Account,biashara,muziki N.K.. Na Cyo Engineerngs Au health
 
Usifikiri kama umechaguliwa ST JOSEPH utapata transfer..
 
Usifikiri kama umechaguliwa ST JOSEPH utapata transfer..

Mungu Yupo Tu Kaka Mwaka Huu Tutapata Tu Na Ukitegemea Tena Transfer Znafanywa Online Kutumia Accnt Zetu Kuptia Tcu Tena Na Cyo Kama Ilivyokua Hapo Nyuma
 
Hv hyo transfer n chuo o hata falculty

Chuo Na Course Ila Kama Hyo Course Mpya Unayotaka Kuhamia Ipo Katka Chuo Ulichopangiwa Huna Haja Ya Kuomba Transfer Ya Chuo Tena Bali Utabadilishia Chuoni Hukohuko Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…