Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,544 Oct 25, 2020 #21 mutu murefu said: Asante kwa ushaurj mkuu Click to expand... Type mrejesho kaka.
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,651 Reaction score 8,699 Oct 25, 2020 #22 mng'ato said: Jiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu. Click to expand... Gari yoyote kutetemeka baada ya kuwashwa ni engine mounting zinakua zimekatika, hata kama ni VX V8 ikikatika mounting utaiona inatetemeka
mng'ato said: Jiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu. Click to expand... Gari yoyote kutetemeka baada ya kuwashwa ni engine mounting zinakua zimekatika, hata kama ni VX V8 ikikatika mounting utaiona inatetemeka
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,544 Sep 29, 2021 #23 mng'ato said: Jiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu. Click to expand... Ushakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo.
mng'ato said: Jiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu. Click to expand... Ushakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo.
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,544 Sep 29, 2021 #24 mutu murefu said: Asante kwa ushauri wako...lakini naomba sababu tafadhali Click to expand... Ulinunua?
mutu murefu said: Asante kwa ushauri wako...lakini naomba sababu tafadhali Click to expand... Ulinunua?
mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 1,037 Reaction score 2,737 Jul 30, 2022 Thread starter #25 Mlolongo said: Ulinunua? Click to expand... Mkuu nilinunua Volkswagen polo 1.4l ya 2006
I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 650 Reaction score 716 Aug 28, 2022 #26 Mlolongo said: Ushakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo. Click to expand... Huyu jamaa sijui tumpe tuzo-mzee wa kutetemeka
Mlolongo said: Ushakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo. Click to expand... Huyu jamaa sijui tumpe tuzo-mzee wa kutetemeka
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,815 Aug 29, 2022 #27 relis said: Ss utofauti uko wapi mwendo sawa uimara bajaj kazidi wote wana tyre nne bila bajaj moja kaamua kuibeba. Click to expand... Mwendo tena?hata kirikuu haifanani na bajaji.
relis said: Ss utofauti uko wapi mwendo sawa uimara bajaj kazidi wote wana tyre nne bila bajaj moja kaamua kuibeba. Click to expand... Mwendo tena?hata kirikuu haifanani na bajaji.