mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,737
Toa sababuusijaribu kununua passo, nakushauri nunua vitz kwa maana ina cc kama hzo za passo! usithubutu kununua passo
Sawasawa mkuuWanakuja wajuzi hiz mambo
Asante kwa ushauri wako...lakini naomba sababu tafadhaliusijaribu kununua passo, nakushauri nunua vitz kwa maana ina cc kama hzo za passo! usithubutu kununua passo
Hahahaaa naona umesistiza sana mkuu. Tupe sababu basiusijaribu kununua passo, nakushauri nunua vitz kwa maana ina cc kama hzo za passo! usithubutu kununua passo
Kwenye swali lako la kwanza na la mwisho sio issue sana ila hayo mawili ya kati unapozungumzia comfortability kwani mjini unataka upambane na nani mpaka uitaji gari nzito ila yote kwa yote tafuta bajaj hutojutia hivyo vigari kila siku utakuja kuomba ushauri ni mimba iliyokosa baba.Habari za muda huu wakuu.
Mimi ni kijana wa miaka 24, katika mishemishe za maisha nimefanikiwa kukusanya kiasi fulani cha pesa.
Nina mpango wa kununua gari ndogo isiokula mafuta(maana mi ni mtu wa mishemishe mjini inakua shida bila usafiri). Nimepata wazo ninunue toyota passo. Kilichonivutia hasa ni CC yake ndogo (ninayodhani inakula mafuta kidogo) hivyo nitaweza kutumia pesa kidogo huku niki save pesa nyingine kwenye ujenzi wa nyumba na mambo mengine. Nataka kwa matumizi madogo tu ya mishemishe za kazini na mjini (sina safari ndefu).
Ninaomba wale wenye uzoefu na ujuzi wa hii gari wanieleweshe zaidi maana ninajua na kutambua kuwa JF ni zaidi ya shule.
Naomba kujuzwa mambo haya
- ulaji mafuta
- kudumu kwake
- comfortability
- upatikanaji wa spea zake
Naomba michango ya kujenga sio kejeli na matusi.
[HASHTAG]#Mutu[/HASHTAG] murefu
Oh shukrani sana mkuuNi bora ukachukua Vitz itakufaa zaidi tofauti na Passo si gari imara hasa body pamoja na injini yake
Hahaha asante sana mkuu kwa ushauri wakoKwenye swali lako la kwanza na la mwisho sio issue sana ila hayo mawili ya kati unapozungumzia comfortability kwani mjini unataka upambane na nani mpaka uitaji gari nzito ila yote kwa yote tafuta bajaj hutojutia hivyo vigari kila siku utakuja kuomba ushauri ni mimba iliyokosa baba.
Ahahahahahahahahah we jamaaJiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu.
Asante kwa ushaurj mkuuUsije kununua passo utakuja kujuta, passo sio gari imara kwenye engine
Hahah kweli tena mkuu,uje ukatest ujionee mkuu.Ahahahahahahahahah we jamaa
Du kumbe bajaji nayo ni gari!!Kwenye swali lako la kwanza na la mwisho sio issue sana ila hayo mawili ya kati unapozungumzia comfortability kwani mjini unataka upambane na nani mpaka uitaji gari nzito ila yote kwa yote tafuta bajaj hutojutia hivyo vigari kila siku utakuja kuomba ushauri ni mimba iliyokosa baba.
Ss utofauti uko wapi mwendo sawa uimara bajaj kazidi wote wana tyre nne bila bajaj moja kaamua kuibeba.Du kumbe bajaji nayo ni gari!!