Msaada kuhusu tovuti ya bodi ya mikopo

mnyuke

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
19
Reaction score
2
Wakuu naombeni msaada kuhusu bodi ya mikopo,inafunguliwa lini kwa sababu watahiniwa wa kidato cha sita wanasubiri ili waanzake kutuma maombi.MSAADA TAFADHALI
 
subir kwa maana hawana muda rasmi sijui kwa mwaka jana ilikuwaje,ila kwa form six 2015 walifungua mapema san,ata kabl ya mitihani yao kuisha applications zilianza.so tumia muda wako mwing kufatilia vyombo vya habari na tovuti ya bodi ambyo ni www.heslb.go.tz
 
Hahaha mkuu punguza haraka bado muda

Ila usiache kusali

Maana unaweza kuwa wakwanza kuomba lakini loan wakakufyeka
Wakampa aliomba nusu SAA kabla ya dirisha kufungwa
😀😀😀😀😛😛😛
 
Mwaka huu application za chuo zinaanza then ndio zinafuata za mkopo... za chuo july mwishoni mkopo september







Ni Tetesi zenye uhakika
 
we kuwa na kimbele mbele tu ngoja mwishoni bodi ikuonyeshee show zake!!!!
 
Ungejua hizo fomu za mikopo ungeziogopa zaidi ya ukoma au HIV, ulitakiwa uzikimbie kabsa dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…