Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Feb 6, 2018 #1 Wadau mnaotumia hii app ya kuangalia movies ya terrarium TV, ninaomba kuuliza ni option gani ambazo hazitumii bando sana na mfano ukifungua movie unakutana na HD-publifilm(streamango) 393 mb, je!hii inamaana ni mb utakazotumia!
Wadau mnaotumia hii app ya kuangalia movies ya terrarium TV, ninaomba kuuliza ni option gani ambazo hazitumii bando sana na mfano ukifungua movie unakutana na HD-publifilm(streamango) 393 mb, je!hii inamaana ni mb utakazotumia!