Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5
ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms
pia haziend.
Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa
naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn
inaendelea kufanya kaz kama n sms zinaingia au
col, lkn cwez kuzsoma maana ninapotouch
haikubali mpaka nitoe betri niwashe tena.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa tatzo
na suluhu yake.