Msaada kuhusu tecno p5

audaxtoxic

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
50
Reaction score
7
Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5 ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms pia haziend.
Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn inaendelea kufanya kaz kama n sms zinaingia au col, lkn cwez kuzsoma maana ninapotouch haikubali mpaka nitoe betri niwashe tena.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa tatzo na suluhu yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…