..kipo eneo linaloitwa kikuyu ukifika,km chache almost 3 kutoka dodoma mjini.ukifika stand ya mabasi ya jamatin panda daladala zinazoelekea nkonze..chuo kina hostel chache sana ivyo wengi tunapanga mitaani kuanzia 40elfu rum1 per month..maji yapo..chuo kina elimu nzuri na ni ngumu ivyo ukijisahau kidogo tu disco itakuhusu..kama umechaguliwq hapo hongera..majengo ya chuo tu ndio yatakukatisha tamaa kwn ni yaleyale ya mazengo sec enzi zile.