Cm yangu ni galaxy s 5 ninapotaka ku -Google ina-search lakni baada ya hapo inaandika web-page is not available ko nataka kujua tatizo ni nini @chiefmkwawa

una bando hemu ingia play store search udownload UC BROWSER FAST then jaribu kuifungua na ugoogle km itakataa kbs ndo ujue ttz ni nini au hiyo google search clear data then ingia upya
Nenda kaseti network.
SETTING>CONNECTION>MOBILE NETWORK>ACCESS POINT NAME:
kwenye name andila jina la mtandao unaotumia mfano; tigo
Penye APN andika Internet kisha save.