Kuna vitu viwili hapo:-
1- Labda hao Gsmarena walichelewa ku-upgrade hilo toleo la simu aina yako kwenye website yao au huenda wana matoleo mawili tofauti..moja ni hilo lako na lingine ni hilo uliloliona
2-Simu yako ni mojawapo ya yale matoleo ambayo si sahihi (Copy/Fake one)
Nimejaribu kuwaza tu Kiongozi..Pole ila puuzia mambo madogo kama hayo usiruhusu yakautafuna Ubongo wako