Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,494 Reaction score 12,466 Sep 15, 2013 #1 Wadau simu yangu ya IDEOS/huawei imeleta muskiri kidogo kila nikitaka kuangalia salio,kuingia kwenye huduma za tigo pesa,au nmb mobile,simu inagoma inaleta ujumbe "Connection problem or Invalid MMI code" nifanyaje kurekebisha hii kitu?
Wadau simu yangu ya IDEOS/huawei imeleta muskiri kidogo kila nikitaka kuangalia salio,kuingia kwenye huduma za tigo pesa,au nmb mobile,simu inagoma inaleta ujumbe "Connection problem or Invalid MMI code" nifanyaje kurekebisha hii kitu?