Kuna mtu ana s4 galaxy,
Nimefanya test ya sensor kwa *#0*# navyenginevyo inakubali,but nyuma imeandikwa made in china,je kuna mwelewa wa hizi s4,nitaijuaje kama ya orginal,