Msaada kuhusu risiva yangu ya Strong 4663x

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari zenu wana Gadgets!,
Poleni na majukumu yenu ya kila siku!

Dhumuni au lengo la kuandika uzi huu ni kuwa risiva yangu aina ya Srt 4663x ilipigwa na radi ikaunguza Ac na kusababisha kutokukamata chaneli kutoka kwenye dish ila jana nimeipeleka kwa fundi ndio kaniambia imepigwa ac na namba za kwenye ac hazionekani vizuri ili kuweza kupata spea ya ac nyingine inahitajika namba za ac iliyoungua zipatikane ili risiva yangu iweze kupona,

Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna yoyote ile anakaribishwa na nitashukuru sana nikifanikisha kuponesha risiva yangu.

Nitaweka picha muda sio mrefu,
SHUKRANI !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…