Msaada kuhusu nursing

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Msaada wakuu kuna ndugu anataka asome chuo cha nesi akiwa na biology D bila kuwa na chemistry,physics je anaweza na kama inawezekana msaada wa hiko chuo
 
Please ingia NACTE utakuta kila kitu kwenye guide book.
In short haiwezekani. They need c in bios and chemistry, d in math ...
 
Huyo kafeli, mwambie asiwe na tamaa za unesi, au lengo lako atuue wagonjwa....?
So basi atafute kozi nyingine itayoendana na hivyo vialama vyake
 
Hawezi soma nurse.... Ingia NACTE utaona vigezo wanavyohitaji ....Hiyo labda akasome kozi ya Medical Attendant mwaka mmoja
 
Iyo course ukimaliza unaweza kuendelea?
 
Hawezi soma nurse.... Ingia NACTE utaona vigezo wanavyohitaji ....Hiyo labda akasome kozi ya Medical Attendant mwaka mmoja
Naomba msaada kuhusu hiyo course ya medical attendat na wapi inafundishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…