Msaada kuhusu mtihani wa RPL

Katamya

Member
Joined
Dec 1, 2015
Posts
68
Reaction score
34
Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina gani ya maswali wanayotoa mana hakuna notes wala lecture yoyote wanayotoa kuelekea mtihani huu.
 
Nitumie majina kwangu mbona hayafunguí
 
Mwenyewe ndo nayatafuta bado sijajua wapi tapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…