Hamis Zmc Member Joined Aug 25, 2016 Posts 48 Reaction score 27 Jul 29, 2021 #1 Wadau mimi naomba mkopo bodi ya mkopo, nina stashahada, kuna sehem ya ku apload cheti cha diploma, napenda kuuliza cheti hiki kinakua original au copy ambayo ni certified?! Nawapigia bodi ya mikopo hawapokei sim wiki tatu sasa
Wadau mimi naomba mkopo bodi ya mkopo, nina stashahada, kuna sehem ya ku apload cheti cha diploma, napenda kuuliza cheti hiki kinakua original au copy ambayo ni certified?! Nawapigia bodi ya mikopo hawapokei sim wiki tatu sasa
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,334 Reaction score 3,727 Jul 29, 2021 #2 Nenda kwenye web yao wametoa maelekezo yote tatizo ni uvivu wa kutatua changamoto kwa kusoma tu maelekezo
Nenda kwenye web yao wametoa maelekezo yote tatizo ni uvivu wa kutatua changamoto kwa kusoma tu maelekezo
Barmwe New Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Jul 30, 2021 #3 Certified man ndo kizuri