Ndugu wana jf, hivi gharama za hifadhi kama, mikumi na Serengeti au Tarangire bei za kiingilio, vyakula na malazi ni kiasi gani kwa Siku na gharama za kutalii mbugani kiasi gani??
Ingia kwnye website zao mkuu utapata mrejesho ila ni nafuu sana gharama zao,Japo mie kinachonishangaza tunalipa hela tunaenda kuangalia wanyama na wakati na wao hutuangalia sie
Si zaidi ya elfu 10 kiingilio kwa Mtanzania. ..Malazi itategemea unalala wap ila ukiingia kwenye website ya Tanapa utapata namba za mbuga zote utawauliza. ..www.tanzaniaparks.go.tz
Hifadhi ya Mikumi kiingilio ni elfu 6 kwa mtu mzima
lakini hifadhi za Northern circuit zote kiingilio ni elfu 10
malazi Mikumi ni kuanzia elfu 40 nakuenderea na chakula ni kuanzia elfu12
karibu sana Mkuu kwa maswali zaidi kupangiliwa safari za utalii na kukuongoza Nicheki +255712944010