M Mahunda Jr Member Joined Apr 5, 2020 Posts 76 Reaction score 108 Nov 20, 2023 #1 Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba. Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa
Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba. Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa
Bijang JF-Expert Member Joined Oct 13, 2016 Posts 409 Reaction score 802 Nov 20, 2023 #2 Bado hayajatok
M Mahunda Jr Member Joined Apr 5, 2020 Posts 76 Reaction score 108 Nov 20, 2023 Thread starter #3 Bijang said: Bado hayajatok Click to expand... Asante sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,648 Reaction score 196,320 Nov 21, 2023 #4 Natumae mleta mada umepata muongozo...
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,263 Reaction score 24,674 Nov 21, 2023 #5 Mahunda Jr said: Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba. Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa Click to expand... Kuanzia tarehe 10dec huko
Mahunda Jr said: Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba. Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa Click to expand... Kuanzia tarehe 10dec huko
Ma mbwa JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,407 Reaction score 3,521 Nov 21, 2023 #6 Hivi vitu kama hiv lazima uanzishe uzi? Daaaah labda tunatofautiana uelewa kimbia chap kwenye website ya necta unapata majibu yote
Hivi vitu kama hiv lazima uanzishe uzi? Daaaah labda tunatofautiana uelewa kimbia chap kwenye website ya necta unapata majibu yote