D DANIEL MWITA Senior Member Joined Sep 16, 2012 Posts 118 Reaction score 42 Jul 29, 2014 #1 Anayefahamu kuhusu asilimia ya riba ukiweka pesa m-pawa na hiyo riba inatolewa baada ya muda gani?anipm au anitxt kwny 0715-140001
Anayefahamu kuhusu asilimia ya riba ukiweka pesa m-pawa na hiyo riba inatolewa baada ya muda gani?anipm au anitxt kwny 0715-140001
M Miss lover Member Joined Jul 25, 2014 Posts 47 Reaction score 6 Jul 29, 2014 #2 Hata mm nataka kujua jaman
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,000 Jul 29, 2014 #4 Unatumia tigo 0715140001
D DANIEL MWITA Senior Member Joined Sep 16, 2012 Posts 118 Reaction score 42 Jul 29, 2014 Thread starter #5 Jerhy said: Unatumia tigo 0715140001 Click to expand... voda hii hapa 0752-140001
I irumbu Member Joined Jul 26, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Jul 30, 2014 #6 Kwa faida ya wote jamani tujuzeni na sisi
chongchung JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 14,300 Reaction score 45,092 Jul 30, 2014 #7 nilianza kwa kuweka laki baada ya miezi miwili hakuna kilichoongezeka sielewi hiyo riba inatolewaje.
the unique Member Joined Mar 8, 2012 Posts 47 Reaction score 1 Jul 30, 2014 #8 Me nimeweka akiba zaidi ya mwez sasa na hakuna hata senti iliyoongezeka.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Jul 30, 2014 #9 Sanene said: :flame: Click to expand... Paw...!!!??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,829 Jul 31, 2014 #10 the unique said: Me nimeweka akiba zaidi ya mwez sasa na hakuna hata senti iliyoongezeka. Click to expand... ni kwel mkuu jamaa ni waongo watupu
the unique said: Me nimeweka akiba zaidi ya mwez sasa na hakuna hata senti iliyoongezeka. Click to expand... ni kwel mkuu jamaa ni waongo watupu