Msaada kuhusu loan breakdown

FarryDeGreat

Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Naomba kusaidiwa jamani pesa ambayo inaingia kwenye account ya chuo ni ipi na pesa ya kujikimu ni ipi kutoka kwenye ule mgawanyo (loan breakdown wa Heslb)........!
 
Hela yote wanapewa chuo then wao wanachukua tuition fee nyingine wanaweka kwenye account ya mwanafunzi kama meals & accommodation, stationary, field, n.k member wengine wataongezea kama nimesahau kutaja vingine
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…