Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Oct 12, 2013 #1 Leo nilikua napitapita kwenye maduka yanayouza laptop nataka kununua laptop. Ila katika pita pita nimekutana na haya maneno kuna laptop nyingine zinatumia WINDOW 8 system nyingine zinatumia DOS system. Kwa wataalamu wa haya mambo ipi ni nzuri?
Leo nilikua napitapita kwenye maduka yanayouza laptop nataka kununua laptop. Ila katika pita pita nimekutana na haya maneno kuna laptop nyingine zinatumia WINDOW 8 system nyingine zinatumia DOS system. Kwa wataalamu wa haya mambo ipi ni nzuri?
Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Oct 12, 2013 Thread starter #2 Wakuu mbona kimya?