Msaada kuhusu kureset simu

king rockie ATL

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
260
Reaction score
25
Jamani wataalam nlikua nareset simu huawei y 530 lakini sas ikiwaka inaishia kuonyesha android tu,wanaojua msaada tafadhali
 
Jamani wataalam nlikua nareset simu huawei y 530 lakini sas ikiwaka inaishia kuonyesha android tu,wanaojua msaada tafadhali

Sijui kama Hii model ya huawei itakubali ila fanya hivi :


  1. Toa Battery lako kwenye cmu kama sekunde tano hvi kisha rudisha.
  2. sasa kabla hujawasha hold button yakuongeza sauti, minya button ya kuwashia simu na uhold pia.
  3. Hold mpaka itakapo kuja menyu ya Android Recovery then achia hizo buttons.
  4. Tumia button za sauti ku move up and down kwenye menyu hiyo, na uende mpaka kwenye option ya "Wipe User Data" (Kitu kama hicho).
  5. Then press button ya kuzima na kuwasha simu, then simu itaanza kufanya a hard reset. subiria mpaka imalize halaf itafanya reboot

I think itawork, Unless kama ulikua unacheza na ishu za ROMS na simu yako ikawa imeingia kwenye Bootloop....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…