samaki wa mbao Member Joined Apr 15, 2021 Posts 81 Reaction score 124 Jun 3, 2021 #1 Salamu kwenu wakuu, Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa? Asanteni
Salamu kwenu wakuu, Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa? Asanteni