Msaada kuhusu kuangalia loan status HESLB

Coster1

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
48
Reaction score
11

Naomba mnisaidie namna ya kuandika hii security code kila nikiandika naambiwa sio sahihi.
Ahsante
 
bora na wewe umeona hyo issue,mimi sio kuandika nimecopy na kupest still haitaki,but i think ni kwa sababu muda wa kuchek haujafika koz mimi mwanzoni kabsa baada ya kutuma maombi niliingia kwenye loan status na ilikubali lakin baada ya muda ikakataa.
so muda ukifka itakubali
 
Nyie mmetuma maombi lini hadi muone loan status???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…