huyu haitwi daktari msaidizi bali anaitwa Tabibu, kazi yake kubwa ni kutumbua majipu! Daktari Msaidizi ni Assistant Medical Officer (ana advanced diploma)
Jinsi ya kuwatambua clinical assistant: ukiona mtumishi wa afya anayependa sana kuitwa dokta kiasi kwamba ukimwita tofauti anakasirika sana hadi kukufokea, basi huyo ndiye! Wanapenda sana kuitwa Dr.utadhani wanasiasa....wauaji wakubwa!