BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Hah ok mkuu ngoja wataalam wa afya na madokta waje.Na mimi nasubiri niweze kujua maana kuna siku daktari alishauri nipime hicho kipimo nikamwambia nitakuja kesho maana niliogopa wasije wakanipima na ngoma bure maana kipindi hiko nilikuwa muhuni muhuni so nilikuwa sijiamini.
Shukrani mkuu
FBP haipimi ngoma, FBP inapima seli za damu kuna seli yeupe (white blood cells) kuna seli nyekundu na kuna chembe sahaniBasi nitakua sina ngoma maana dokta kasema majibu ya FBP yako sawa.
Kipimo kikionyesha iron deficiency na monocytosis hapo inaashiria nn?