stickyfinger Member Joined Feb 26, 2013 Posts 53 Reaction score 20 Sep 15, 2016 #1 Habari wadau, simu yangu ina tatizo lifuatalo. Nikibonyeza namba za kuhitaji huduma mfano *102# badala ya kuomba salio, inapiga. Ni hivyohivyo kwa huduma nyingine ikiwemo kuingiza vocha. Msaada tafadhali
Habari wadau, simu yangu ina tatizo lifuatalo. Nikibonyeza namba za kuhitaji huduma mfano *102# badala ya kuomba salio, inapiga. Ni hivyohivyo kwa huduma nyingine ikiwemo kuingiza vocha. Msaada tafadhali