Msaada kuhusu huawei y530

Stamina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
590
Je, ni kweli huawei y530 ina tatizo la "ku-stuck" sana?!
 
Je, ni kweli huawei y530 ina tatizo la "ku-stuck" sana?!

Hapa kuna kazi ya kuwasaidia Tigo kutangaza biashara yao Kwa kuweka thread special za hizi simu y330 na y530
au tuendeleze thread ya C6 ya Huawei Y530 na labda tuongeze na Huawei Y330

Kwa kifupi Huawei 530 sio simu ndogo na huyo alokwambia ku stuck hajielewi na iki stuck kwake haimaanishi kwako ita stuck kuna watu wana High end phones ila utakuta matatizo ya Android apps ku clash clash kila mda ndo kunapelekea huyo jamaa alokudaganya kusema kwamba y530 ina stuck
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…